Matthew 27:3

Yuda Ajinyonga

(Matendo 1:18-19)

3 aYuda, ambaye alikuwa amemsaliti Yesu, alipoona kuwa Yesu amehukumiwa, akajuta na akarudisha vile vipande thelathini vya fedha alivyopewa na viongozi wa makuhani na wazee wa watu.
Copyright information for SwhNEN